Wakati wa Vita Baridi, misheni za siri zinawapeleka wanajeshi kwenye operesheni hatari duniani kote. Unamfuata Alex Mason, ambaye anakabiliwa na maswali mazito kuhusu kumbukumbu zake mwenyewe.
Mahitaji
RAM: angalau 6 GB.
Storage: GB 15.
Taarifa ya awali inasema hakuna graphics card inayohitajika na mteja anatakiwa kudownload game pekee.