Mchezo wa mbio za magari uliowekwa kwenye tamasha la Horizon huko Colorado. Unaendesha magari ya kasi kwenye barabara za wazi na kushindana ili kuwa bingwa wa tamasha.
Mahitaji
Maelekezo ya awali yanasema si ngumu sana kufanya setup, lakini unatakiwa ku-extract mafaili.