Agent 47 anamlinda msichana mdogo huku akiwindwa na wakala wake wa zamani na polisi. Unaingia kwenye maeneo makubwa na kuchagua kumaliza kila lengo kwa siri au kwa nguvu.
Mahitaji
RAM 2GB
CARD NIVIDIA GEFORCE NOW NA CARD ZA KAWAIDA ZINACHEZA POA TU KWENYE LPTOP