Dante ni mwindaji wa pepo mwenye mtindo wa kipekee. Unapigana kwa upanga na bunduki, ukichanganya mashambulizi ya haraka na mbinu za kuvutia dhidi ya wingi wa pepo.
Mahitaji
APK ya Mali GPU Devices
Kama unatumia kifaa chenye Mali GPU, tumia APK ya Mali GPU iliyo kwenye link ya pili.
Data itumike kutoka kwenye link ya kwanza, kulingana na maelekezo ya video.