Los Santos ni jiji la uhalifu, pesa na usaliti. Fuatilia maisha ya Michael, Franklin na Trevor wanapotekeleza wizi mkubwa, kukabiliana na magenge hatari na kuingia kwenye ulimwengu wa uhalifu. Hapa, kila uamuzi unaweza kubadilisha kila kitu! 🔥🎮
Mahitaji
RAM: 8 GB.
Game size: 47 GB.
Imeelezwa kuwa inacheza kwenye PC nyingi za kawaida zenye RAM ya 8 GB.